Friday, 21 April 2017

NENA YAPASAYO:

USIWAELEZE WATU SHIDA ZAKO, 
KWA SABABU:-

1. 3/4 (ROBO TATU) YA UTAOWAAMBIA HAWATAKUSIKILIZA
2. 1/2 (NUSU) YA UTAOWAAMBIA WATAKUCHEKA


3. 2/3 (THELUTHI MBILI) YA UTAKAO WAAMBIA NAO WAKO NA SHIDA KAMA WEWE!!!!

No comments:

Post a Comment