Monday, 13 November 2017

WANAFUNZI WENGINE 1,775 WA MWAKA WA KWANZA WAPATA MIKOPO


Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo imetangaza orodha ya Awamu ya Nne yenye wanafunzi 1,775 wa Mwaka wa Kwanza waliofanikiwa kupata mikopo na hivyo kufanya jumla ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza waliopangiwa mikopo hadi sasa kufikia 31,353. Katika Awamu ya Kwanza, wanafunzi 10,196 wa mwaka wa kwanza walipangiwa mikopo, Awamu ya Pili (11,481) na Awamu ya Tatu (7,901).
Orodha hiyo ya Awamu ya Nne inapatikana hapa.  Aidha, orodha hii inapatikana katika tovuti ya Bodi (www.heslb.go.tz) na imeshatumwa kwa vyuo husika ili kuwawezesha wanafunzi kufanya usajili na kuendelea na masomo.
Kiasi cha shilingi 427.54 bilioni zimetengwa kwa ajili ya mikopo ya wanafunzi kwa mwaka 2017/2018 na kati ya fedha hizo shilingi 108.8 bilioni ni kwa ajili ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza. Tayari Serikali imeshatoa shilingi 147.06 bilioni kwa ajili ya robo ya kwanza ya mwaka huu wa 2017/2018.

Wednesday, 18 October 2017

ORODHA YA KWANZA YA MAJINA YA WALIOPATA MIKOPO 2017/2018

Waombaji wa Mwaka wa Kwanza


Tunapenda kuwafahamisha waombaji wa mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2017/2018 kuwa, baada ya uchambuzi wa maombi yao, Orodha ya Awamu ya Kwanza yenye wanafunzi 10,196 wa mwaka wa kwanza waliofanikiwa kupangiwa mikopo imekamilika.

Kiasi cha Tshs 34.6 bilioni kimetengwa kwa ajili ya wanafunzi hao 10,196. Kwa ujumla, Tshs 108.8 bilioni zitatolewa kwa wanafunzi 30,000 wa mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo 2017/2018.
 
Orodha hiyo ya kwanza inapatikana kwenye tovuti ya Bodi ya Mikopo (www.heslb.go.tz) na itatumwa kwa vyuo husika. Orodha nyingine (batches) zitafuata kadri taratibu za udahili na uchambuzi zinavyokamilika. Lengo ni kutoa majina ya wote waliofanikiwa kupata mkopo kabla ya vyuo kufunguliwa mwishoni mwa mwezi huu wa Oktoba, 2017.

Orodha hii ya wanafunzi 10,196 imepatikana baada ya kupokea na kuchambua Awamu ya Kwanza ya majina ya wanafunzi 32,495 waliopata udahili katika chuo kimoja. Itakumbukwa kuwa moja ya sifa kuu za kupata mkopo ni mwombaji kupata udahili katika taasisi ya elimu ya juu inayotambuliwa na Serikali.

Wanafunzi waliopata udahili katika chuo zaidi ya kimoja na ambao wana sifa za kupata mikopo, watapangiwa mikopo baada ya kuchagua na kuthibitisha chuo watakachojiunga kwa ajili ya masomo.

Tshs 318 bilioni zatengwa kwa ajili ya wanaoendelea na masomo

Wakati huohuo, tunapenda kuwafahamisha wanafunzi wa elimu ya juu wanaoendelea na masomo na umma kwa ujumla kuwa tunatarajia kuanza kutuma vyuoni fedha za mikopo ya wanafunzi wanaoendelea na masomo ambao wamefaulu mitihani yao kuanzia leo, Jumatano, Oktoba 18, 2017.

Kiasi cha Tshs 318.6 bilioni kitatolewa kwa wanafunzi 93,295 wanaoendelea na masomo kwa mwaka wa masomo 2017/2018. Tayari Serikali imeshatoa fedha hizo na lengo la Bodi ni kuhakikisha fedha zinafika vyuoni kabla ya kufunguliwa kwa vyuo ili kuwaondoloea wanafunzi usumbufu.

Hitimisho
Bodi ya Mikopo inawasihi waombaji wa mikopo kuwa na subira wakati ikiendelea kukamilisha maandalizi ya orodha zinazofuata za wanafunzi waliopata mikopo. Tutaendelea kutoa taarifa kwa vyombo vya habari na tovuti ya Bodi mara kwa mara.

Kupata orodha kamili bofya hapa


Mwisho.
Imetolewa na:
ABDUL-RAZAQ BADRU
MKURUGENZI MTENDAJI
JUMATANO, OKTOBA 18, 2017

Friday, 9 June 2017

ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA UFUNDI MWAKA 2017


ORODHA YA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA UFUNDI KWA MWAKA 2017



ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO KATIKA SHULE YA SEKONDARI BEREGE

ORODHA YA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO KATIKA SHULE YA SEKONDARI BEREGE KWA MWAKA 2017
Top of Form
Bottom of Form
SNO
NAMBA YA MTIHANI
JINSI
JINA LA MWANAFUNZI
SHULE ATOKAYO
TAHASUSI
SHULE AENDAYO
WILAYA YA SHULE AENDAYO
MKOA WA SHULE AENDAYO
1
S0107/0036
M
Dickson O Msengi
Lutheran Jnr Sem.
HKL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
2
S0107/0069
M
Raymond I Shillah
Lutheran Jnr Sem.
HKL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
3
S0128/0031
M
Gift Humphrey Offorossia
Malangali
HKL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
4
S0152/0014
M
Baraka Venant Serapion
Shinyanga
HKL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
5
S0169/0009
M
Edgar Fulgence Temu
Bihawana Jnr Sem.
HKL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
6
S0169/0018
M
Martine Paul Victor
Bihawana Jnr Sem.
HKL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
7
S0169/0026
M
Richard Samson Mwanchali
Bihawana Jnr Sem.
HKL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
8
S0302/0193
M
Benjamin Ibahath Mkande
Arusha
HKL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
9
S0485/0298
M
Denis Hermenti Mushi
Majengo
HGL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
10
S0506/0164
M
Ushindi Sadick Mwaikonge
Ungwasi
HKL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
11
S0508/0107
M
Wilhemo Rogath Mushi
Mlama
HGL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
12
S0583/0134
M
Nassoro M Machengo
Mazinyungu
HGL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
13
S0586/0156
M
Prince Tumwesige Katabaro
Kaisho
HGL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
14
S0629/0101
M
Abdallah A Ponda
Edmund-rice-sinon
HKL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
15
S0629/0202
M
Maxwell Winfred Mpigi
Edmund-rice-sinon
HGL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
16
S0635/0051
M
Francis Isack Richard
Msufini
HKL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
17
S0729/0073
M
Joel Harry Kihongosi
Msolwa
HGL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
18
S0729/0077
M
Kennedy Azaria Chaya
Msolwa
HGL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
19
S0756/0036
M
Evans Tresphory Lweyemamu
Murutunguru
HKL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
20
S0759/0116
M
Edmund W Semitende
Gairo
HGL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
21
S0781/0201
M
Selemani I Abdallah
Arusha Day
HKL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
22
S0782/0131
M
John Stephen Kimaro
Mwika
HGL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
23
S0804/0046
M
Anold Jackson William
Mvumi
HGL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
24
S0804/0073
M
Jonathan Evord Kigosi
Mvumi
HGL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
25
S0804/0094
M
Richard Habel Paul
Mvumi
HGL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
26
S0825/0044
M
Abubakari Said Tunda
Mudio Isl Sem.
HGL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
27
S0883/0073
M
Cuthbert R Paul
Donbosco-didia
HKL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
28
S0883/0110
M
Jackson Matson
Donbosco-didia
HKL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
29
S0958/0057
M
David Godfrey Madeje
Kiwanja Cha Ndege
HGL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
30
S1015/0033
M
Emmanuel C Maro
Dr Omar Ali Juma
HKL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
31
S1209/0029
M
Peter Andrea Malaya
Sanza
HKL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
32
S1222/0236
M
Abiner A Mushi
Kihonda
HGL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
33
S1261/0083
M
Sunday Juma Mmbonde
Merriwa
HKL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
34
S1272/0103
M
Yacobo Cornel Kessy
Kisarika
HGL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
35
S1350/0029
M
Ramadhani Mzee Kange
Al Qaem Sem.
HKL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
36
S1353/0135
M
Bujashi Mgangaji Masatu
Zakia Meghji
HGL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
37
S1707/0053
M
Mika Oberlin Lema
Orkolili
HGL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
38
S1861/0035
M
Paschal Saimon Mahayu
Merya
HKL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
39
S1950/0019
M
Erick G Mogela
Langali
HGL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
40
S1950/0029
M
Laurent S Lukoo
Langali
HGL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
41
S2031/0110
M
Fredrick Golden Kimambo
Kisasa
HKL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
42
S2031/0138
M
Lazaro Elisha Wilson
Kisasa
HGL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
43
S2033/0132
M
Nadhiri Hamisi Mbanga
Viwandani
HGL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
44
S2050/0118
M
Imani Severini Msesega
Nyandeo
HGL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
45
S2333/0036
M
Adam M Rashid
Bravo
HGL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
46
S2464/0021
M
Alpha Joshua Mbogo
Songambele Kilimani
HKL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
47
S2464/0040
M
Lucas Richard Nganasha
Songambele Kilimani
HKL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
48
S2472/0075
M
Saidi Hamisi Njalatangu
Minepa
HGL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
49
S2626/0053
M
Collins Theobald Conrad
Charlotte
HGL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
50
S2647/0036
M
Boniface I Mashauri
Denis
HGL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
51
S2847/0081
M
Emiliani Medadi Silayo
Nduweni
HGL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
52
S2861/0045
M
Noel J Chiwa
Kauzeni
HGL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
53
S3239/0084
M
Hashimu Jumanne
Muleba
HGL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
54
S3713/0049
M
Jackson Sauli Isack
Mumi
HKL
Berege
Mpwapwa
Dodoma
55
S3843/0109
M
Miraji I Msita
Am Shabiby
HGL
Berege