VITUKO MASHULENI:
VITUKO MASHULENI:
Mwalimu katoa kazi kwa watoto darasani, kila mmoja atunge sentensi kutokana na maneno yafuatayo;
- TUMAINI
- SUKARI
Mwanafunzi:
1.SENTENSI: TUMAINI TWA MBUZI NI TUTAMU KULIKO TWA NG'OMBE:
Mwanafunzi:2. SENTENSI: NILIKUNYWA CHAI ASUBUHI NA MAPEMA SANA:
Mwalimu: SASA NENO SUKARI LIKO WAPII??
Mwanafunzi: SUKARI IMO NDANI YA CHAI, MWL UTAKUNYWAJE CHAI BILA SUKARI KWELI INAWEZEKANA:
No comments:
Post a Comment